Nenda kwa yaliyomo

Bia ya farasi watatu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Bia ya farasi watatu

Bia ya farasi watutu ni bia aina ya pale lager inayotengenezwa na kampuni ya Star Breweries nchini Madagascar tangu mwaka 1958. Hii ndiyo bia inayouzwa zaidi nchini Madagascar na inachukuliwa kama moja ya alama muhimu za taifa hilo.

THB inauzwa kote nchini Madagascar, na tangu mwaka 2005 imekuwa ikisafirishwa kwenda nchi na maeneo kama Ufaransa, Kisiwa cha Réunion, Comoro, na Mayotte.[1]

  1. ↑ "Historique | Les Brasseries STAR Madagascar". www.brasseries-star.com (kwa Kifaransa). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2015-06-05. Iliwekwa mnamo 2026-07-25.