Nenda kwa yaliyomo

Beyaynetu

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Beyaynetu

Beyaynetu ni aina ya mkate wa wenye umbo la duara na maumbo madogo madogo ya matundu juu yake (kama sponji), unaotokana na unga uliochachushwa kwa muda kabla ya kupikwa. Hutengenezwa kwa unga wa nafaka iitwayo teff (ingawa wakati mwingine huchanganywa na ngano, mtama au mahindi), kisha kuoteshwa kama mkate wa mkate wa chachu (fermented) na baadaye kupikwa kwenye kikaango bapa.ukiwa umewekewa aina mbalimbali za nyama na mboga juu yake. Jina lake lina maana ya "mchanganyiko" au "aina mbalimbali", kutokana na wingi wa viungo vinavyotumika.[1]

  1. ↑ Claire Redden (2023-09-13). "Ethiopian Beyaynetu Is A Must-Try For Those Who Like Variety In One Dish". Tasting Table (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2026-07-25.