Nenda kwa yaliyomo

Kiodut

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 18:49, 21 Mei 2017 na Baba Tabita (majadiliano | michango) (kuondoa kiungo kitupu cha llmap using AWB)
(tofauti) ← Pitio lililotangulia | Toleo la sasa (tofauti) | Pitio linalofuata → (tofauti)

Kiodut ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waodut. Miaka ya 1980 idadi ya wasemaji wa Kiodut imehesabiwa kuwa watu 20 tu. Kwa hiyo lugha imekaribia kutoweka kabisa; tena imawezekana kwamba hata wasemaji hao wameshafariki. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiodut iko katika kundi la Cross River.

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiodut kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.